Naomba msaada wa tatizo langu la hedhi

baby success

JF-Expert Member
Jul 14, 2022
549
1,791
Habari za asbuh wakuu!

Nahitaji msaada wa hili suala, tatizo nivkwamba nikiwa naingia zangu mwezini period inakuwa ni nzito sana yaani inakuwa kama imeganda ganda halafu ni nyeusi mno.

KILA nikienda hospitali napewa dawa hali inakuwa ni ile ile tu kama kuna hospital nimeenda juzi ndio kabisa nikapewa dawa za uzazi wa mpango.

Angalizo mimba sijawai kutoa.

Mwenye kujua dawa anisaidie tafadhari
 
Habari za asbuh wakuu
Nahitaji msaada wa hili swala, tatizo nikwamba nikiwa naingia zangu mwezini period inakua ni nzito sana yaani inakua kama imeganda ganda harafu ni nyeusi mno,
KILA nikienda hospital napewa dawa hali inakua ni ile ile tu kama kuna hospital nimeenda juzi ndio kabisa nikapewa dawa za uzazi wa mpango,
Angalizo mimba sijawai kutoa.

Mwenye kujua dawa anisaidie tafadhari
Unaposema nyeusi mno nashindwa kuelewa ni weusi wa aina gani?

Mimi naona ungetuma picha kwanza
 
Habari za asbuh wakuu
Nahitaji msaada wa hili swala, tatizo nikwamba nikiwa naingia zangu mwezini period inakua ni nzito sana yaani inakua kama imeganda ganda harafu ni nyeusi mno,
KILA nikienda hospital napewa dawa hali inakua ni ile ile tu kama kuna hospital nimeenda juzi ndio kabisa nikapewa dawa za uzazi wa mpango,
Angalizo mimba sijawai kutoa.

Mwenye kujua dawa anisaidie tafadhari
Nyie watoto, huwa hamuoni haya kuzungumzia haya masuala hadharani?
 
Back
Top Bottom