Naomba msaada wa tatizo langu la hedhi

Hapo kwenye kupewa dawa za mpango wa uzazi wakati tatizo ni rangi ya damu kwa kweli wewe na doctor mmetupiga.
Huwezi AMINI mkuu ndio nilipewa dawa hizo hospital flan hapa mjini na sikuzinywa maana nilivyo pewa nikapokea tu kufika nyumban ndio nikakutana na hayo
 
Habari za asbuh wakuu!

Nahitaji msaada wa hili swala, tatizo nikwamba nikiwa naingia zangu mwezini period inakua ni nzito sana yaani inakua kama imeganda ganda harafu ni nyeusi mno.

KILA nikienda hospital napewa dawa hali inakua ni ile ile tu kama kuna hospital nimeenda juzi ndio kabisa nikapewa dawa za uzazi wa mpango,
Angalizo mimba sijawai kutoa.

Mwenye kujua dawa anisaidie tafadhari
Pole baby success
Damu za hivyo nasikia mara nyingi ni sababu ya hormone imbalance

Mie nina tatizo la kuumwa sana tumbo na kiuno siku za period
Wewe hupati maumivu?
 
Pole

Weusi wa Damu ya hedhi ni dalili ya TATIZO kwenye mirija ya mayai!!
Eidha imeziba au kuna blockage ndogo kwenye eneo Hilo!!

Mtafute mtaalamu bwa magonjwa ya wamama inaweza ikawa hormonal imbalance!!

Kuna Dawa inaitwa Duphaston inaweza kukusaidia!!lakini kwanza tafuta daktari wa magonjwa ya kina Mama!!
 
Pole sana babe, usiwe unasahau ku share na mimi ukiwa unapitia kipindi kigumu. Siwezi kukuacha uumie peke yako.
Huwa sisahau kushare manake wewe ndio mtu wangu wa karibu zaidi

Hata hapa naumia peke yangu,kuna mdau aliniambia chai ya tangawizi inasaidia lakini nimetumia sioni unafuu 😢
Hakuna rangi naacha kuona muda huu loh!
 
Habari za asbuh wakuu!

Nahitaji msaada wa hili swala, tatizo nikwamba nikiwa naingia zangu mwezini period inakua ni nzito sana yaani inakua kama imeganda ganda harafu ni nyeusi mno.

KILA nikienda hospital napewa dawa hali inakua ni ile ile tu kama kuna hospital nimeenda juzi ndio kabisa nikapewa dawa za uzazi wa mpango,
Angalizo mimba sijawai kutoa.

Mwenye kujua dawa anisaidie tafadhari
TAFUTA majani ya mlonge yaliyokaushwa na kusagwa pika chai yake unywe asubuhi na jioni la siku kama saba hivi Halafu ulete mrejesho!!!
 
Huwa sisahau kushare manake wewe ndio mtu wangu wa karibu zaidi

Hata hapa naumia peke yangu,kuna mdau aliniambia chai ya tangawizi inasaidia lakini nimetumia sioni unafuu 😢
Hakuna rangi naacha kuona muda huu loh!
Babe ngoja nikupigie labda ukisikia sauti yangu utakuwa sawa.
 
Pole baby success
Damu za hivyo nasikia mara nyingi ni sababu ya hormone imbalance

Mie nina tatizo la kuumwa sana tumbo na kiuno siku za period
Wewe hupati maumivu?
Yaani nayapataga tumbo likianza kuuma kugaragara chini na kilio kama nimewehuka wee ACHA tu na kiuno hukaza
 
Pole

Weusi wa Damu ya hedhi ni dalili ya TATIZO kwenye mirija ya mayai!!
Eidha imeziba au kuna blockage ndogo kwenye eneo Hilo!!

Mtafute mtaalamu bwa magonjwa ya wamama inaweza ikawa hormonal imbalance!!

Kuna Dawa inaitwa Duphaston inaweza kukusaidia!!lakini kwanza tafuta daktari wa magonjwa ya kina Mama!!
Ahsante mkuu
 
Back
Top Bottom