dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,809
- 61,681
cheki PM
Nisha jazwa na airtel tayar [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dawa yako ni kujazwa tu ujae
NaitakaSasa fanya mpango wa namba huo mbona unarukaruka hvyo baby success.. Au hutaki msaada..?
Okcheki PM
Mnavyojua kujifanya hamnazo! Siwawezi nyieHili ni jukwaa la afya SASA kama nimeenda hospital sijapata ufafanuzi nafanyaje?? Nina shida ndio maana haya sina na haya ni matatizo kama matatizo mengine asiye jua nani?
Lakini pia period ujue zinatofautiana rangi from red-- Brown- Dark.Kumbe ? Kwahiyo mkuu tunafanyaje?
Sawa nimekuelewa.Iko na brown color
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani nyie haya mambo hamyajui?? Embu chukueni ufundi KWA billnas mwenzenu juzi mpaka leba kaingiaMnavyojua kujifanya hamnazo! Siwawezi nyie
Nakijua KWA sehem yake mkuu nashukuru maana nilikua nimeogopa kukosa watoto huko mbeleniSawa nimekuelewa.
Kwa kifupi hilo ni jambo la kawaida.
Natumaini kidhungu unakijua baby success soma hii itakusaidia:
Is brown blood normal?
In most cases, brown blood during your period is normal.
The color and consistency of blood can change throughout your menstrual cycle. It may be thin and watery one day, and thick and clumpy the next. It may be bright red or brown, heavy or light. It’s normal for your periods to vary in length, heaviness, and level of discomfort.
Brown blood is usually present toward the end of your cycle. As your body sheds the uterine lining in the first few days of your cycle, the blood is normally red. However, near the end of your cycle, the discharged blood is older and can be discolored.
Wanangu hawana haraka na maisha waache tu wakae huko tumbon[emoji1787]ZAA 21 Yrs tayari mfuko wa mimba unaita ushawasha green light tena unechelewa
Tatizo la watoto ambao hawaendi unyao! Au tuseme Unyago. mamdenyi tusaidie tafadhali maana miaka yak[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani nyie haya mambo hamyajui?? Embu chukueni ufundi KWA billnas mwenzenu juzi mpaka leba kaingia
SASA period tu ndio iwatishe[emoji1787][emoji1787]
Usihofu baby success watoto utapata, jitunze, jiheshimu utapata mume bora na Mungu akijalia watoto piaNakijua KWA sehem yake mkuu nashukuru maana nilikua nimeogopa kukosa watoto huko mbeleni
Njoo nikujaze mimi airtel wamefeliNisha jazwa na airtel tayar [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787]ubaya ni kuwa kiwa kiasi kikubwa cha walioenda unyago ndio wana mabalaa huku kitaa kuliko hata sisi tusio endaTatizo la watoto ambao hawaendi unyao! Au tuseme Unyago. mamdenyi tusaidie tafadhali maana miaka yak
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapana mkuu me wa kike maybe mwandiko nimerithi KWA babaHuu mwandiko wa kiume kuna mtu atapigwa kitu kizito