Naomba msaada wa sheria ya parking | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada wa sheria ya parking

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by emalau, Sep 11, 2012.

 1. e

  emalau JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,177
  Likes Received: 272
  Trophy Points: 180
  Wana jf kwa yeyote anayefahamu sheria au utaratibu wa parking, nauliza hivyo kwa sababu hapa Aarusha naona kuna watu wanalazimisha wizi wa mchana kwa kutoza parking kando ya highway yaani kando ya barabara iendayo Nairobi. Hawa ni watu waliopewa kazi ya kukusanya parking katikati ya mji. Sasa hivi wanajkuja kikundi kama majambazi wanatoa upepo magari tuwashughulikieje ili kuwasaidia raia?

  Naomba msaada jamani.
   
 2. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Tafuta sheria ndogo, by law, inayowapa mamlaka watu wa manispaa mamlaka hayo halafu itundike hapa iliipitiwe kwa kina, na upewe ushauri
   
 3. C

  Cartoons Senior Member

  #3
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  utaratibu na ushuru wa kupark hutofautiana kutoka halmashari moja hadi nyingi , km hauna by law inayohusu hayo mambo nenda makao makuu ya halmashauri kwenye idara ya sheria.
   
Loading...