Hellloo, Msaada Jinsi ya kuconfigure Tunnel Guru , kila napo jaribu na pata error. Thanks.
Hey Mwl.RCT njunwa wamavoko tembeleen huku mtoe msaada
- Ulianzia hapa >>| https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/715465-msaada-tunnel-guru.html
- Angalia PM nimekutumia Tayari. KARIBU
- Kajicho habari za siku, Kimya kingi
![]()
msaaada tafadhali wakuu... natapa majibu hayo wakati wa kuconnect
Leo kuanzia saa 8 mchana nadhani hapakuwepo na tatizo hilo,network ilikuwa "dawn"!