Naomba msaada wa OS ya iPhone

Naomba msaada wa OS ya iPhone

ORBIT

Member
Joined
Dec 10, 2015
Posts
29
Reaction score
16
Wadau naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kurudisha OS y iPhone yangu imekufa.

Toka juzi najaribu ikifika karibu kumaliza inakufa tena. Inarestore almost 90% kisha inakwamia hapo.

Tafadhali naomba mwenye maujuzi anitoe kwenye dhahama hii maana narudi kwenye ujima.

Thanking u in advance.
 
Unatumia i phone ipi ??? Ulishawah kubadili kifaa chochote from unauthorised dealer
 
Duu itabidi nisi apragrade tena jaribu kutumia itune kurudisha last version
 
Kimbilia google fasta .. Nenda kadownload ipsw kutokana na model ya iPhone yako then utapewa maelekezo ya namna ya ku i restore

Pole sana!
 
C
Kimbilia google fasta .. Nenda kadownload ipsw kutokana na model ya iPhone yako then utapewa maelekezo ya namna ya ku i restore

Pole sana!
Ndiyo nilidownload itunes lkn imegoma anyother way pse nakosa amani jmn
 
Nawashukuru wote kwa michango yenu hatimaye nimefanikiea sasa hv iko vzr. Shukrani wakuu wote
 
Back
Top Bottom