Naomba msaada wa nini cha kufanya.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Nimechaguliwa udsm,cheti changu original cha form 4 ninacho,ila kwa bahati mbaya jana nikiwa natoka kuchukua original yangu ya form 6 nikawa nimeiweka pamoja na cheti cha kuzaliwa,nikavisahau kwenye daladala<kwa kifupi vimepotea> bahati nzuri nilikua na photocopy ya cheti cha kuzaliwa iliyokua certified na mahakama to be a true copy of original na ina muhuri wa mahakama,vile vile nimebaki na result slip yangu ya form 6 ingawa imetolewa miaka 3 iliyopita.sasa,nauliza nikienda chuo watakubali kweli kunisajili au watanisumbua maana nimeenda kuriport police wao wameniandkia notice report pekee wakanipa na risiti flani hv baada ya kulipia shiling 500?
 
Ukienda necta watakusaidia,huwa kuna process za kufuata wataandika barua chuoni ili uweze kuwa registered pia jaribu kutangaza via radio nenda clouds maana nina uhakika hivyo vyeti vipo ni wewe tu kuanza vifatilia nenda radioni waeleze kama watataka ulipie ni hapo utajua.
Pole sana aisee
 
mkubwa,kwani nikienda chuoni na haya mabarua niliyoandikiwa police station hawatanipokea?
 
Mkuu we katoe taarifa vituo vya redio,na ukiona kimya nenda necta ndio wanaoweza kukupa barua ya kupeleka chuon ukaeleweka na chuo,lakini mambo ya polic ni kwa ajili ya usalama tu.pole sana
 
Back
Top Bottom