Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,787
- 8,382
Aah me pia mwanasuaso ikitokea nafas tutashtuana.Agronomy
Ila jiunge Linkeid utapata connection nyingi.
Aah me pia mwanasuaso ikitokea nafas tutashtuana.Agronomy
Siyo kilimo uchumi.Agronomy ina deal na Soil na Crop management.kilimo uchumi ni Agribusiness.Kilimo uchumi
Mimi Nina diploma ya travel and tourism, pia ninaweza kuongeza watalii *Tour guide * pia kuhudumia hotelini yaan service pamoja na kufanya usafi kama kufagia , kuchonga fance nafahamu poa Mimi ni dreva Nina leseni ndogo class D Naomba kazi kwenye sector izo Nina uzoefu wa kutoshaUmehitimu fani gani ? Na unaweza jufanya nn nje ya iyo fani jieleze vizuri mkuu humu kuna watu wengi.anyway Nakuombea ufanikiwe