Naomba msaada wa nafasi ya kazi

Naomba msaada wa nafasi ya kazi

WanaJF naomba msaada wa nafasi ya kazi mimi ni Mhitimu wa Chuo Kikuu kozi ya Agronomy pia nina Diploma in General Agriculture nina cheti cha TOSCI,TFRA nipo Kahama namba yangu ni 0719686691
 
Wana JF,

Naomba kwa yeyote anatakayewiwa naomba aniwezeshe kunisaidia nafasi ya kazi.

Nipo Kahama Mjini lakini naweza kufanya kazi popote pale.
 
Agronomy ni course nzuri sana na marketable. Kuwa na subira oia jitahidi kuapply popote uonapo kuna Tangazao la kazi za Kilimo. Utapata bro, Mungu akutie nguvu tu kaka.
 
Juzi tuu hapo nilikua napiga dayworker ya kupakia mpunga na mwenye Kama elimu yako since 2014 Kwa hiyo Kaa Kwa kutulia
 
utapata mkuu ungezama vijijini kwetu huku utapata fursa za kilimo baada ya miaka kadhaa utakuwa mwingine sio kuajiriwa

KAMA UNATAKA MALI UTAZIPATA SHAMBANI
 
Juzi tuu hapo nilikua napiga dayworker ya kupakia mpunga na mwenye Kama elimu yako since 2014 Kwa hiyo Kaa Kwa kutulia
Elimu ya kilimo na mifugo haina soko ,,wanaajiri kwa kujuana pia ajira zake chache ada ni kubwa mno msije peleka watoto wenu kupotezaa mda hukoo kama hamna mtaji.
 
Habari wadau wa JF naomba msaada wa nafasi ya kazi hali ni ngumu mno naomba kwa yeyote atakayependezwa anisaidie connection ya kazi nipo Kahama Mjini namba yangu ni 0621136523
 
Mzee chukua hata machungwa ya mali kauli tu uza mtaani kama chinga.
Najua uko broke na desperate ila nyuzi za hivi lazima uje ujilaumu mbeleni
 
Back
Top Bottom