Mathew C Malunde
Member
- May 16, 2023
- 30
- 32
- Thread starter
- #21
Naweza kufanya kazi mbalimbali nina fani ya Kilimo na ComputerUnafani gani mkuu
Naweza kufanya kazi mbalimbali nina fani ya Kilimo na ComputerUnafani gani mkuu
Tatizo ni connection ya hayo machungwaMzee chukua hata machungwa ya mali kauli tu uza mtaani kama chinga.
Najua uko broke na desperate ila nyuzi za hivi lazima uje ujilaumu mbeleni
Hapo s mtaji mzee?Tatizo ni connection ya hayo machungwa
Nikuunganishe kiwanda cha singboard njombe ?Naweza kufanya kazi mbalimbali nina fani ya Kilimo na Computer
Kama inawezekana niunganishie tu jamaaNikuunganishe kiwanda cha singboard njombe ?
Kazi gani kaka fungukaNenda Msalala kapige kazi
Tafuta Kampuni ya ulinzi iliyopo karibu nawe nenda kajielezee hawatoshindwa kukupa Kazi acha kujilegezaTatizo ni connection ya hayo machungwa
Kazi gani sasaNenda Nyarugusu kachape kazi
DhahabuKazi gani kaka funguka
DhahabuKazi gani sasa
ShukraniTafuta Kampuni ya ulinzi iliyopo karibu nawe nenda kajielezee hawatoshindwa kukupa Kazi acha kujilegeza
ShukraniDhahabu
Nyarugusu kuna kazi gani sasa....🤔Nenda Nyarugusu kachape kazi
Bukoli ndio hawezi kabisa kupata cha kufanya kwa waarabu paleNenda Bukoli kapige kazi
Kazi ganiNenda Bukoli kapige kazi
Dhahabu ndio kazi gani??Dhahabu