Naomba msaada wa nafasi ya kazi

Naomba msaada wa nafasi ya kazi

Alafu kijana acha uzembe, ebu amka alfajiri nenda pale stendi ya CDT kagombanie abiria, ukipata abiria mmoja ukampeleka kwenye gari uhakika unachaki, kahama bado washamba ni wengi.
Nenda nje ya mji tafuta kazi za saidia fundi kwenye ujezi, kahama ni mji unao jengeka kwa kasi sana.
Nenda kule manzese kwenye soko la mbao katafute kazi zipo nyingi kwenye viwanda vya mbao na hata kushusha na kupakia mbao.
Ukweli ni kwamba kahama haitaki kuzubaa utakufa njaa wakati fursa bado zipo nyingi
 
Naitwa Alex Jamani naombeni connection ya kazi Nduguzangu Namba ya simu iyo hapo 0759404502
 
Habari wana JF,

Mimi nipo Kahama natafuta kazi yoyote halali itayoweza kuniingizia kipato. Ni Mhitimu wa Chuo Kikuu 0719686691/0694914425.
 
Back
Top Bottom