Pesa yangu mimi nimeanda m16 cash kwa kila kitu lakini niko tayari kuongeza kama kutaitajika kuongeza wakuu
kwahakika hii harusi haizidi 150000Harusi za kiislamu kiasili hapa Tanzania ni gharama nafuu sana unless kama
1/Unataka ifanane na zile za kikristo au kimagharibi. (Huko ndio swaga za Ufahari wa Harusi zilipoanzia na kujikita kwa karne nyingi sana)
2/Wanandoa wana uasili wowote wa Kiarabu, Maarufu sana, Viongozi wa juu wa kisiasa nk. (Inalazimisha kumantain Status ya Nafasi yako kwenye jamii hususani aina ya marafiki na watu wenye uwezo wanakuzunguka)
3/Suala la dini(Uislamu) sio Agenda ya muhimu (Hapo idea za Kibagani za matumizi ya Anasa zinajiingiza)
4/Umeunda kamati ya Harusi na kukusanya pesa za Michango ya Harusi(Hapo unawajibika kuwaridhisha waliokuchangia na pia utaliwa pesa na wanakamati)
USHAURI WANGU.
*Kama wewe ni muislamu basi fanya harusi isiyo na fahari au gharama kubwa ili kupata swawabu na kulinda utamaduni wa harusi za kiislamu.
*Kama unao uwezo wowote wa kipesa, kwepa kabisa suala la kuunda kamati ya kukusanya michango na kufanikisha harusi yako.
*Kaa na ndugu zako wa karibu sana kuona namna unaweza kufanya harusi yako kiislamu na kinyumbani zaidi.
*Budget ya harusi inategemea, ila kiufupi, kiislamu mambo muhimu ni haya tu.
1/Chakula(Ubwabwa)
2/Vinywaji(Soda).
3/Burudani(Kaswida)
4/Mavazi(Kanzu, Kofia, Kiremba, Gauni, ina)
Mkuu sitaki kufanya ya muundo huu naitaji ya muundo flan ivi bado naitaji mawazo yenu wakuuHarusi za kiislamu kiasili hapa Tanzania ni gharama nafuu sana unless kama