Naomba msaada wa kuweka update ya HiOS kwenye tecno camon c8 yangu

mimi nimejaribu kuiwasha kwenye mode inakuja kwa lugha ya kichina je nitawezaje kubadili lugha ili niweze kuendelea
Kama ni C8 fanya hivi
1. Bonyeza kitufe cha kuwashia simu na cha kuongezea sauti kwa wakati mmoja hadi ile logo ya experience smartlife itokee.
2.Achia kitufe cha kuwashia simu ubaki umeshikilia kitufe chakuongezea sauti. Itatokea ile katuni ya android
3. Achia kitufe cha kuongezea sauti.
4.bonyeza kitufe cha kuzimia simu kisha na uendelee kukishikialia kisha bonyeza kitufe cha kuongezea sauti mara moja tu yatakuja maandishi ya njano....
 
pamoja ndugu, ngoja nicheki
 
Vp wakuu, tecno phantom z min, hakuna new updates??
 
Kama ni C8 fanya hivi
1. Bonyeza kitufe cha kuwashia simu na cha kuongezea sauti kwa wakati mmoja hadi ile logo ya experience smartlife itokee.
2.Achia kitufe cha kuwashia simu ubaki umeshikilia kitufe chakuongezea sauti. Itatokea ile katuni ya android
3. Achia kitufe cha kuongezea sauti.
4.bonyeza kitufe cha kuzimia simu kisha na uendelee kukishikialia kisha bonyeza kitufe cha kuongezea sauti mara moja tu yatakuja maandishi ya njano....
imekubali ndugu yangu. asante kwa msaada
 
Baada ya kuhaingaika kwa mda mrefu hatimae leo nmefanikiwa kuupdate tecno c8 to android 6 aka mashamallow and hios ayse naenjoy balaa tena bila kuroot
 
Back
Top Bottom