Sure but drop down is bad designbut nimeona kuna blogs zenye dropdown menu ,hope inawezekana.
Blog ina support xml templetes unaweza ukawa umedesign templetes ya html cha kufanya
nunua domain ya co.tz bei 25000ths kwa mwaka na hosting 4000ths kwa mwezi, unlimited e-mail
thanks mkuu nimetafuta template inayosupport na nimeachana na hiyo aristeer na nimefanikiwa,pamoja sana.Swali limeulizwa lingine watu wanajib vingine!!
Mkuu Kwann utumie Aristeer??..wakati kuna free templates kibaooo zinazosupport drop down menus