Naomba msaada wa kupata licence key za PC Optimizer

popo1986

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2014
Posts
1,120
Reaction score
373
Naomba msaada mwenye licence key ya Pc optimizer Pro version 6.1.4.5

Anisaidie hata kuni PM au tupia hapa

Nipo online any time nasubiri
 
Kwa nini usichukue tu crack file yake kutoka kwenye torrent sites ?

Naongea hivo maana nowadays developers wanajua kublock kirahisi hizi license keys maana nyingi zina online activation...

Kama additional comment tu, usitumie pc optimizers, ni scam, they don't actually work, zaidi zina slow down computer kwa kuzuia apps mbalimbali kufanya caching, kila ukiload app itakua slow zaidi baada ya kucheza na optimizations....
 
kwa nini usichukue tu crack file yake kutoka kwenye torrent sites?
naongea hivo maana nowadays developers wanajua kublock kirahisi hizi license keys maana nyingi zina online activation...
Nitumie ipi mkuu msaada kaka
na kama additional comment tu, usitumie pc optimizers, ni scam, they don't actually work, zaidi zina slow down computer kwa kuzuia apps mbalimbali kufanya caching, kila ukiload app itakua slow zaidi baada ya kucheza na optimizations....
Nitumie ipi mkuu msaada tafadhari kama pc optimizer haifai nitumie ipi?
 
Pc optimizer haina haja mzeee....achana nazo kabisa hizo hajidai kuwa zina speed up computer lakin ndo zina slow down computer...itoe kabisaaaa!
 
usitumie yoyote.
Chief -nime root handset yangu kupiti frama root aragon s2,kuna apps short cut superuser na frama root yenyewe kwenye device yangu
  • Je hii frama root kuna haja ya ku uninstall?
  • Jinsi gani ya ku utilize super user so far sarakasi zake sizielewi!
Natanguliza shukurani
 
usitumie yoyote.
Mkuu @chief mkwawa, nahitaji maelezo ya kutosha kidogo hapo ili niing`owe ikibidi. Kwani nami pia nahisi kuchezewa akili na haya Ma-Optimizer. Natumia TuneUp Utilities 2014 na matumizi yangu ya Computer (laptop) ni ya kawaida tu.
 
kaka achana na navyo toa vitu hivyo acha laptop yako na software muhimu tu. hizo software huwa zina tabia ya kipolisi ku inspect software wenzake hali ya kuwa hazina authority hio. sana sana husababisha conflict na software wenzake na kufanya pc iwe slow au isitumike vizuri.
 
Chief -nime root handset yangu kupiti frama root aragon s2,kuna apps short cut superuser na frama root yenyewe kwenye device yangu
  • Je hii frama root kuna haja ya ku uninstall?
  • Jinsi gani ya ku utilize super user so far sarakasi zake sizielewi!
Natanguliza shukurani

haina kazi tena framaroot unaiweza itoa, huyo super user ndio ataendelea na kazi.

super user kazi yake ni kuruhusu/kukatalia apps zinazoomba root access, mfano ukidownload root uninstaller ili ifanye kazi inabidi uiruhusu kwa kutumia super user.

kuiruhusu huwa message ina pop up yenyewe kutoka super user pale unapofungua app inayohitaj root, huna haja ya kufanya manual
 
Nitumie ipi mkuu msaada tafadhari kama pc optimizer haifai nitumie ipi?
Kama mashine yako inaenda slow, honestly i think its time to upgrade, websites na apps zinazotengenezwa siku hizi zinahitaji mashines kubwa ku-run vizuri, kama bado uko kwenye dual core processors, afu unataka kubrowse internet vizuri, kuwa na softwares kama Photoshop, illustrator au hata Office 3013, unajipa shida bure.... maana apps zote za siku hizi zimekua optimized kutumia nafasi ya kutosha, ram isiyopungua gb 8 na latency 9, processor angalau i3 yenye hyperthreading kwenda juu.. kama una chini ya hapo lazima mashine iende slow hata uweke software gani ya kuoptimize.. Unless utumie windows ya zamani, na apps za zamani, ambazo zilikua zinafanya poa wakati wa specs hizo....
 
haina kazi tena framaroot unaiweza itoa, huyo super user ndio ataendelea na kazi.

super user kazi yake ni kuruhusu/kukatalia apps zinazoomba root access, mfano ukidownload root uninstaller ili ifanye kazi inabidi uiruhusu kwa kutumia super user.

kuiruhusu huwa message ina pop up yenyewe kutoka super user pale unapofungua app inayohitaj root, huna haja ya kufanya manual
Chief Ahasante naomba unielekeze jinsi ya ku apply functionality za SU such as jinsi gani naweza kuzing'olea mbali apps nisizozihitaji,kuhamisha baadhi ya app kutoka kwenye ram to external sd or internal na mengineyo utakayo suggest.
Ahsante tena!
 
kaka huyo su yeye hatoi apps wala hana function hizo. app itabidi udownload mwenyewe then su kazi yake ni kuzipa ruhusa hizo app kutumia root access.
 
mkuu Chief-Mkwawa itabidi univumilie kidogo,sasa endapo nitahitaji niliyodokeza kwenye post yangu iliyopita nini natakiwa nifanye? pia nikifungua hiyo SU the only app ninayoiona mle ni nova launcher nothing else ,nielimishe mkuu kwa hisani yako!
 
mfano unataka kutoa app zilizokuja na simu basi nenda playstore then download root uninstaller ukishadownload iopen utaona inaomba ruhusa kupitia su ikubalie. basi hapo utakua umeipa ruhusa app itumie root.

app zinazohitaji root ni kama app za kawaida tu tofauti yake ni kwamba hadi zipewe ruhusa. jaribu hio uninstaller kwanza ufanye kitu practically utaelewa vizuri.

pia kua makini ukitoa system files ujue rom yako itacorupt na simu haitafanya kazi hadi uiflash.
 
CHEF upo juu! yaani mambo safi kabisa,as precautions najaribu ku learn the lopes by moving apk frm device to ext sd card.and I am faring goods so far kabla sijaingia kwenye "tupa kule mode frenzy" Ahsante mkuu!
 
Back
Top Bottom