Naomba msaada wa kupata Fifa 15 PC Game

Naomba msaada wa kupata Fifa 15 PC Game

mkuu nilikuwa namaanisha tare 24 ya october(imeshapita)... still no crack huko duniani kwa wenzetu pia watu wameshaanza kukata tamaa..so option tulizonazo ni mbili tu kwa sasa...either ununue au keep on waiting! But mpaka sasa hakuna tar kamili hata tetesi iliyotangazwa...kwa kufuatilia kwa karibu kinachoendelea nenda hapa:https://kickass.to/community/show/welcome-fifa-15-social-group/?page=545#post15794583
hahahah hiyo link admin wake amenifurahisha sana na amenivunja nguvu kabsa nikimquote `Please dont ask about the crack every hour on the hour, when its released, it will be posted, and if you are following the group, you will know about it. asking about the crack every few minutes will not make it appear faster.

thank you

DO NOT PM ME ASKING FOR CRACK UPDATE...i don't know anything about it.`
 
Rg mechanics ndio ambao nawakubali sanaa yani ukiona games zimepitia kwao basi asilimia 95 zitafanya kazi vizuri na kama game limewashinda hawalazimishi kulitoa kama wengine wanavyolazimisha halafu games zinazingua. Nahisi hawa jamaa ni warusi maana games zao nyingi unakuta ni lugha mbili ya urusi na english.
 
mkuu nilikuwa namaanisha tare 24 ya october(imeshapita)... still no crack huko duniani kwa wenzetu pia watu wameshaanza kukata tamaa..so option tulizonazo ni mbili tu kwa sasa...either ununue au keep on waiting! But mpaka sasa hakuna tar kamili hata tetesi iliyotangazwa...kwa kufuatilia kwa karibu kinachoendelea nenda hapa:https://kickass.to/community/show/welcome-fifa-15-social-group/?page=545#post15794583
mkuu hawa jamaa mbona wameblock access siwezi kuingia na kuview kinachoendelea.
 
mbona mi nimecheck sasaiv hapa iko poa...ulishajisajili nao au unaingia kama guest? manake hiyo thread kuiona ni lazima uwe memba.. afu kwa taarifa za awali ni kuwa jamaa wa 3DM wameshaicrack ile security ya Denuva iliyotumika na EA kwenye games recently so wakati wowote wata release crack zake ikiwemo fifa15..
 
Mwanzo nilikuwa naingia kama guest nakuona kinachoendelea,baadae ikanigomea nikajisajili ila still inaniambia i dont have enough access/right
 
mi iliwahi kunitokea hivyo mara moja tu ambapo nilibadili browser so nlivyorudisha ile ya sku zote ikagoma ila baada ya mda yenyewe ikawa poa...so labda kuna ishu kwenye security zao sjajua...
 
Back
Top Bottom