Naomba msaada wa kujiondoa Deshmax

NGERESHAA

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
1,237
1,669
Wapedwa naomba msaada wa kujiondoa Deshmax, kuna mtu alinielekeza kujiunga ili nipate sms za mtu niliyetaka kumfuatilia.

Ndani ya wiki mbili hizi wameshanikata 60,000 Tigo Pesa yaani wanakata 30,000 sijui baada ya mda gani

Hata huduma yenyewe sipati wanachukua tu hela ya Bure.

Naomba anayejua namna ya kujiondoa au ikishindikana nikatoe hela yangu nitupe line.
 
Hakuna apps, zenye kukuwezesha kusoma au kusikia mazungumzo ya mtu mwingine.
Mtanagazo ya hizo apps, ni utapeli ka utapeli mwingine.

Ogopa vitu vinavyokupa huduma kwa njia ya mkato mkato
 
Zpo mkuu

Wapedwa naomba msaada wa kujiondoa Deshmax ,Kuna mtu alinielekeza kujiunga ili nipate sms za mtu niliyetaka kumfwatilia .

Ndani ya wiki mbili hizi wameshanikata 60,000 tigo pesa yaani wanakata 30,000 sijui baada ya mda gani

Hata huduma yenyewe sipati wanachukua tu hela ya Bure .
Naomba anayejua namna ya kujiondoa au ikishindikana nikatoe hela yangu nitupe line .

Nenda kituoni acha upumbavu
 
Hiyo pesa ulikubali kukatwa ama! Na wanatumia njia gani kufikia akaunti yako
 
Wapedwa naomba msaada wa kujiondoa Deshmax ,Kuna mtu alinielekeza kujiunga ili nipate sms za mtu niliyetaka kumfwatilia .

Ndani ya wiki mbili hizi wameshanikata 60,000 tigo pesa yaani wanakata 30,000 sijui baada ya mda gani

Hata huduma yenyewe sipati wanachukua tu hela ya Bure .
Naomba anayejua namna ya kujiondoa au ikishindikana nikatoe hela yangu nitupe line .
Umeyatimba kwa kujifanya shilawadu kufuatilia ishi zisizokuhusu kwa lengo la kufumania.

Tulia wachukue zaka😅
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom