Mbavu za Mbwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2011
- 303
- 154
Wanajamii, tusaidieni watu tunaoishi huku mabonde kuinama.
Ninategemea kuja Dar kikazi hivi karibuni. Nikiwa huko ninahitaji kununua TV flat screen ya inches 32.
TV gani ni nzuri na inauzwaje? Iwe brand new, either ZEC, Samsung au brand nyingine yoyote. Pia nahitaji ushauri, wa ipi ni nzuri?
Nawasilisha