Acha ushamba ww tv zote ni multsystem labda alete tv ya mwaka 80 na decoder inatoa av tu ambayo ina support format nyingi
siyo kweli kwamba TV zote ni multisystems, Fanya utafiti vizuri!! Kuna TV nyingi tuu hapa hazina PAL/SECAM .Acha ushamba ww tv zote ni multsystem labda alete tv ya mwaka 80 na decoder inatoa av tu ambayo ina support format nyingi
TV mpya hazina tatizo hilo input volts 100 - 240V, huhitaji kabisa step up transformer "Booster".Haina tatzo kabsa labda katika power rating maana huko wanatumia 110v sisi tunatumia 220v ila pia si tatzo maana kuna booster itapiga mzigo kama kawa,,,,
Hilo siyo tatizo la flat, picha nyingi zilitengenezwa kwa ajiri ya screen 3:4 na format ya flat screen 16:9 TV yangu haikati picha kabisa.Tatizo la flat nyingi zinakata picha. yani picha haikai kwenye screen vilivyo, mpaka uanze tena kuangaika kuseti.
Hilo siyo tatizo la flat, picha nyingi zilitengenezwa kwa ajiri ya screen 3:4 na format ya flat screen 16:9 TV yangu haikati picha kabisa.
samsung inchi 32 lcd 550000, inchi 32 led series 4 650000, inchi 32 led series 5 750000, inchi 40 led series 5 1300000
plasma inapatikana inchi 43 1000000
chaguo ni lako
mkuu katika stock yangu sina hiyo....Naweza pata LED SMART TV YA INCH 22 NA NI BEI GANI?
Nchi ngapi?
Samsung 46" LED.Nchi ngapi?
Hilo siyo tatizo la flat, picha nyingi zilitengenezwa kwa ajiri ya screen 3:4 na format ya flat screen 16:9 TV yangu haikati picha kabisa.