NguoYaSikuKuu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 699
- 1,120
Mkuu sija'give up ila nilikuwa nafanya Rooting,Sasa nikifanya ije katika Recovery mode inakataa kabisa, Inakuja Symbol ya Samsung na inawaka... So hapa ndo nakata tamaa kabisaabila kueleza ulichofanya huwezi kusaidiwa, kama ndio umegiveup kabisa nenda jukwaa la matangazo kawape watu kazi wakufanyie
Mkuu sija'give up ila nilikuwa nafanya Rooting,Sasa nikifanya ije katika Recovery mode inakataa kabisa, Inakuja Symbol ya Samsung na inawaka... So hapa ndo nakata tamaa kabisaa
What's made my tecno h3 so slow hata YouTube ni shedaah
Youtube app unaiupdate?? Maana app usipoiupdate itafika kipindi ufanisi wake utapungua. Na pia kama unastream videos youtube, hakikisha hauna process yoyote ya kudownload maana internet ya hapa Tanganyika haipo fasta kiasi cha kustream na kudownload files kwa wakati mmoja.
Blessed be!
hivi vyote nishavidownload ila Ku'Root ndio haitaki mkuu.download Custom rom yake hapa Dev-Host - N7000-STABLEv1.zip - The Ultimate Free File Hosting / File Sharing Service kisha na Gapps Download gapps-kk-20140105-signed.zip | DevFiles.co - Free file hosting for Android devs! download phiz kernel na cwm recovery hapa PhilZ-cwm6-DDLSC-ODD-4.93.6-signed download odin 1.85 hapa http://dl-1.va.us.xda-developers.co....zip?key=E37-31ukzN15DG57QwYzuA&ts=1422036350 kisha flash
Ndugu ninapotaka kuRoot ndio inagoma,ila mm sio mara ya kwanza kuRoot simu. Nimejaribu kuRoot nimeshindwa MkuuUmefanikiwa kuroot?? stock recovery haina options zinazohiajika katika kuinstall Custom ROMs, kwa hiyo hakikisha umeroot simu yako, na kisha ingia playstore search app inaitwa recovery tools. Hii ukiifungua itaomba root access halafu utakubali, ukishakubali itaload recovery zote zilizopo kwa ajili ya simu yako. Kisha itadownload na kuflash Custom recovery. Kwa ushauri wangu kuwa mwangalifu tu, step ukiona inakuzingua, njoo hapa jukwaani tutakupatia mwongozo.
Back to the issue, ukishaflash custom recovery, hakikisha una rom unayotaka kuinstall pamoja na Google apps, maana custom roms nyingi hazina google apps packed in.
hivi vyote nishavidownload ila Ku'Root ndio haitaki mkuu.
Ndugu ninapotaka kuRoot ndio inagoma,ila mm sio mara ya kwanza kuRoot simu. Nimejaribu kuRoot nimeshindwa Mkuu