Naomba msaada wa ku-root Huawei y530

Naomba msaada wa ku-root Huawei y530

Smartbrain

Senior Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
184
Reaction score
35
Habari zenu wadau? Ninatumia huwei y530 nikai root kwa kutumia toweroot nilifanikiwa lakin internal storage ili corrupt kwahiyo nikawa siwez ku access intenal storage.

Nikaona bora ni fully unroot ili kuirudisha simu kwenye hali yake ya mwanzo.

Sasa naomba kama kuna mtu ameshawai ku root y530 ipo 100% working anisaidie alifanyeje.
 
Kwani unataka kufanya nini mpaka unataka root access?
 
Mkuu Nataka niwe na root access ili niweze kuitumia ipasavyoo
 
Unatumia njia ngan ku root hizi huawei y530 mkuu bobby bm
 
Mkuu slave hiyo iroot nimefanikiwa ku install ila hai root simu kila ni press root now ina load afu inastop
 
Na wakati wa Installation make sure uko connected kwa internet na simu iko connected
 
Mkuu Mwl. RCT hiyo thread nimeipitia nimegundua inatumia toweroot ..hio app kwangu ina root ila ina corruptisha sd na internal storage so unakua na root access ila huwez kuacces storage
 
mm nina root cm 100% kwakutumia app zifuatazo

adb driver

usb driver na frameroot

kunanjia unapitia kabla uja root ili kuiwezesha cm ikubal ku root uki root cm inakuwa inakubal vtu vng mana unavunja shells za simu
 
mm nina root cm 100% kwakutumia app zifuatazo

adb driver

usb driver na frameroot

kunanjia unapitia kabla uja root ili kuiwezesha cm ikubal ku root uki root cm inakuwa inakubal vtu vng mana unavunja shells za simu
Mimi natumia huawei y300-0100, naweza tumia app ipi ku-root
 
Back
Top Bottom