Naomba ushauri wa ku root Lumia 535

Naomba ushauri wa ku root Lumia 535

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
2,134
Reaction score
664
Wakuu habari za muda huu? Ninatumia Microsoft Lumia 535 (windows10 mobile) kwa mwaka wa 3 sasa, kuna kipindi waliruhusu kuinstall apps nje ya windows store kwa ku enable developer mode lakini baadae waliondoa.

Naombeni ushauri kama naweza ku root ili niweze kuinstall apps nje ya store yake, na je kama inawezekana nitumie nini kufanya hi zoezi? Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom