naomba msaada wa kitaalamu DELL D820

naomba msaada wa kitaalamu DELL D820

segos

Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
19
Reaction score
0
nina laptop aina ya dell latitude D820 yenye win 7, ukiiwasha inaleta maandishi DELL, BIOS revision a10 na haiendelei zaidi ya hapo. Naomba msaada wakuu
 
Check na hard drive yako itakuwa haiko sawa mahala pake ama imekufa.
 
Back
Top Bottom