Naomba msaada wa kazi

Naomba msaada wa kazi

Roselyn27

New Member
Joined
May 11, 2025
Posts
4
Reaction score
10
Naomba mnisaidie nina matatizo nimeacha chuo sina ada nyumbani hali ngumu hata nauli wameshindwa kunipa nakaa kwa rafiki, mguu wangu mbovu

Naweza kazi zote za mikono kupika kufua. kazi za stationary pia naweza nimewahi pia kuuza duka na kazi zote ambazo haziitaji kutembea sana maana ni mlemavu wa mguu..

Mungu awabariki sana🙏🙏
 
Una umri gani?
 
Uko mkoa gani? Ulemavu au ugumu wa maisha mara nyingi si kigezo cha kupata kazi. Uwezo na utaalam pekee. Kwa nn usifanye biashara. Andaa bajeti plan weka hapa watu watachanga regarding to. Na huu ulemavu wa miguu watu wauone hapa mana sote tunafaham shida haimpat mtu mmoja
 
Pole sana, Mungu akutie nguvu upate haja ya moyo wako around these days katika jina la Yesu. Amini
 
Naomba mnisaidie nina matatizo nimeacha chuo sina ada nyumbani hali ngumu hata nauli wameshindwa kunipa nakaa kwa rafiki, mguu wangu mbovu

Naweza kazi zote za mikono kupika kufua. kazi za stationary pia naweza nimewahi pia kuuza duka na kazi zote ambazo haziitaji kutembea sana maana ni mlemavu wa mguu..

Mungu awabariki sana🙏🙏
Njoo inbox
 
Uko mkoa gani? Ulemavu au ugumu wa maisha mara nyingi si kigezo cha kupata kazi. Uwezo na utaalam pekee. Kwa nn usifanye biashara. Andaa bajeti plan weka hapa watu watachanga regarding to. Na huu ulemavu wa miguu watu wauone hapa mana sote tunafaham shida haimpat mtu mmoja
naweza kufanya biashara yoyote hata genge au icecream naweza kuuza maana nyumbani ni njia karibushule wanapita wanafunzi wengi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom