Alex Xavery
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 230
- 196
Naomba msaada kwa mwenye draft ya katiba ya kikundi cha kijasiriamali, tutajihusisha na kilimo cha mbogamboga na matunda. Tunatakiwa kusajiliwa na kufungua akaunti.
Naomba msaada tafadhali
Naomba msaada tafadhali