Kabaizer
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 504
- 64
Wakuu naomba msaada, wengine nauli zetu ndogo kutokana na ugumu wa maisha hivyo kwa wale wakuu wangu wenye nyota kubwa naombeni msaada jins ya kupata yale mambo yetu ya free ili nipate kudownload hata material ya kujisomea.
Natanguliza shukrani za dhati! Kama wanabana siku hizi basi hata PM zitumike kusaidiana!
Natanguliza shukrani za dhati! Kama wanabana siku hizi basi hata PM zitumike kusaidiana!