Naomba msaada wa haraka penzi la buzi linanizuzua

Pole na hongera sana Kongosho,

Play it safe....

Bahati nzuri, mtu habaki njuka milele!

Babu DC!!
 
King'asti, you no walam sayin.

Am not deile bledi, utamtisha mateka wangu bana.

:)

Hivi ile operesheni uliyofanyiwa ukawa mkaka kwani ilikuwa reversed? Ama ulikuwa na mume mwanaume I mean down low?
Son of a gun, u scare the heck outta me!
 
Last edited by a moderator:
Dark City, nasubiri kwa hamu unjuka uishe, siwezi vumilia tena.

Nafsi inanisuta nikimtizama baba watoto, mabusu tele tele, mie natamani nimzabe kibao.
Pole na hongera sana Kongosho,

Play it safe....

Bahati nzuri, mtu habaki njuka milele!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Atakusimulia yalompata.

Kama alishindwa Unga Limited ataweza Mchele Limited?

Kazoea vya kunyonga huyu vya kuchinjwa awaachie wajuzi.

Kila la kheri Bishanga
usisahau kuleta taarifa pindi ukiweka kitu kimiani
OTIS
 
Last edited by a moderator:
Shemale of the year anafunguka.
Kwanza ebu vuta hisia za mwanzo, ulipokuwa unamdharau huyo buzi kisha jidharau na wewe mwenyewe ukishajiona haufai tena then unaweza anza kujijenga upya na kurudisha mapenzi kwa mumeo.
 
Mimi nimeona kama vile ni stori tu umeipata kwa mtu kama ni kweli basi nakupongeza kusema ukweli maana ingawa wengine watajifanya wahubiri na wao wamo humohumo. ushauri wangu wewe yapime mweyewe roho itakachopenda ni hicho hicho maana mwili na roho mara nying havipatani katika kutamani na kupenda. kimoja kinapenda kingine kinatamani hapo ndo mvutanao unaanza!
 
Huyo ni ntakuPM bana, naona aibu sana kumsema.

Si unajua nlivyomhangaikia hasi kusema Yes, I do.

Muache atishike. (Samahani umbea umenikaba, buzi ni The Boss ama yeye ndo mume *****?)
 
mzamifu, nimeshajidharau ndo maana imebidi nisema labda heshima.

Yaani kuna wakati najichukia kwa hili.

Kweli wanamme wa maofisini jamani hebu kazaneni na vigym, hawa makuli wakitushika watatuvuruga akili.

Mimi nimeona kama vile ni stori tu umeipata kwa mtu kama ni kweli basi nakupongeza kusema ukweli maana ingawa wengine watajifanya wahubiri na wao wamo humohumo. ushauri wangu wewe yapime mweyewe roho itakachopenda ni hicho hicho maana mwili na roho mara nying havipatani katika kutamani na kupenda. kimoja kinapenda kingine kinatamani hapo ndo mvutanao unaanza!
 
Last edited by a moderator:
Hapa hakuna msaada, tumsubirie nyani ngabu aje amuwekee mume wako ile clip ya "babu jinga" alomwekea bishanga.

Wanawake bana! mi ndo maana waifu akinambia I love u nakuwa naguna tu.Lakini Mungu atatulipia wanaume
hakuna cha wanaume kwani hujamsoma huyo aliyezini naye ni mwasherati tu si naye kamtenda mkewe pata shika wote moto utawawakia
 
Be very keafu.

Sikupanga kuwa na mahusiano ya nje
nimejikuta tu kwenye hii mess

nilisema nijaribu kumbe kibuzi kina ulimbo, nimenasa mwenyewe.

Hapa hakuna msaada, tumsubirie nyani ngabu aje amuwekee mume wako ile clip ya "babu jinga" alomwekea bishanga.

Wanawake bana! mi ndo maana waifu akinambia I love u nakuwa naguna tu.Lakini Mungu atatulipia wanaume
 
swala hili haliana tajiri wala masikini msomi au asiye msomi paroko au mlei kwa sababu mambo hufanyika kwa siri kila mtu atajifanya msafi. Ulichosema nakupongeza maana umekuwa wazi. sina tabia ya kujibu aina hii ya message lakini nimekumbuka muda fulani nilionja ndizi choma mahali tangu hapo zile za home niliziona kama jongoo la mchina. basi hayo yalishaisha mami naamini nawe yataisha. sasa ndizi za home nala kama kawa
 
huyo mumeo mwaka wa tisa sasa ,unataka kumpoteza kwa ajili ya mpita njia?USIDANGANYIKE,kwa kuwa mna mawasiliano ya kikazi,hapo hata ukifuta namba haisaidii,sasa kwani unaona vibaya kumfundisha mumeo akufanyie hayo anayokufanyia kibuzi?wewe tafuta njia kwa ujanja ujanja mwambie mumeo kuwa ndoa yenu ina karibia one decade,maboresho ni muhimu,kwa hiyo tafuta hata kitabu(maana mkanda wengine hawapendi),au vitabu vya kuboresha ndoa vinavyoonyesha style na matendo mapya ya kuboresha ndoa,jaribuni kwa pamoja,atanogewa tu,nawe utanogewa tuuu!maana shida yako iko hapohapo tuuuu!nadhani umenielewa.ukifanya mchezo dogo anakuharibia ndoa na yeye anakutosa.
 
msidanganyike wazinzi hawatauridhi uzima wa milele,

yamtokayo mtu kinywani mwake ndio yaujazayo moyo wake, maneno yako hayaoneshi kujuta bali kufurahia uzinzi na kuendelea kuufanya, umekuja kutukebehi na kutafuta kuchafua roho zetu, kwa jina la Yesu kristo pepo akutoke na upotelee mbali\

kila apandaye uovu huvuna mabaya
 
usitumie maneno makali hayo hapa.

Roho akikushukia, kemea kimya kimya tu, sie tutapata upako wako

hakuna cha wanaume kwani hujamsoma huyo aliyezini naye ni mwasherati tu si naye kamtenda mkewe pata shika wote moto utawawakia
 
wasaliti ni wengi kila mtu ajichunguze na nafsi yake na mambo yake huyu naye utajuaje mume wake mwizi tabia mbaya miaka 9 hajatuambia hii ndo tabia yake ya kuchanganya mapenzi na kazi ili tujue tunatibu nini hapa mko hapo
 
Back
Top Bottom