Naomba msaada wa haraka penzi la buzi linanizuzua

Mama akitaka kumwachisha mtoto kunyonya anapaka pilipili kwenye nyonyo, mtoto akilamba tu harudii tena.

Mwambie aweke chili saurce kwenye dud ukionja mara moja tu utawashwa hautataman tena kuchepuka.

Hhhaaaaaaaaaa
 
Hivi hajashitikia tu, ningekua Mimi mpaka sasa ningekua nakaribia kulianzisha, naicho kibuzi ungenitajia mwenyewe kabla hatuja gombana. Wewe ni daktari wa tatizo lako.
 
Damn it...!
Kuanzia leo nikiambiwa ''I love you'' sitakuwa na cha kujibu..!!
 
Sred closed, Bishanga alishapigwa chini, ila ..... (haramu tamu?)
Excel asante kwa kunikumbushia sred za zamani, nimecheka tu.
 
Last edited by a moderator:
Delete contact zake badili namba ya simu ikiwa yeye pia anakusumbua saa nyingine. Spend more time na mume wako ikiwa mtafanya safai ya another honeymoon itasaidia kurudisha ukaribu wenu.

Zaidi omba mungu umsahau.
chezea mtu aliyekuingia rohoni wewe..,hata uki delete saiv na kununua cm nyngne ukimkumbuka tu uta mtafuta coz namba ipo kichwani.., i do insist ktk option ya kusali sana kwa mungu wake basi..,
 
Back
Top Bottom