Naomba msaada wa haraka kuhusu western union

ANT DRUGS

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
5,583
Reaction score
7,064
Jaman nimetumiwa pesa toka marekan kupitia Email yangu bt wonderful enough nilipoingia tena kwenye email yangu ili nichukue details nikatoe pesa ile sms siion tena lkn sms zingine zpo.

NAOMBEEN MSAADA JAMAN NIMESHIDWA NIFANYEJE HAPA.
 
Western wanatumia email kunotify mteja? Duh aisee, kwani hujatumiwa PIN na mtumaji?
 
Mkuu,mtumaji kanitumia pin no na details zote kupitia email yangu,kwa hiyo huo ujumbe ndo siuoni ili niende WESTERN UNION
 
maybe umeidelete bahati mbaya au imekua marked kama spam umeshaangalia folder la spam na la email ambazo umezidelete?
 
Jaman nimetumiwa pesa toka marekan kupitia Email yangu bt wonderful enough nilipoingia tena kwenye email yangu ili nichukue details nikatoe pesa ile sms siion tena lkn sms zingine zpo.
NAOMBEEN MSAADA JAMAN NIMESHIDWA NIFANYEJE HAPA

mwambie akutumie hiyo email upya
 
Western union hawatumi email..anaekutumia ni sender na si lazima email hata sms tu aweza tu muhimu ni MTCN number na test questions na answer. Otherwise matapeli watakua wanakulengesha ili wakuambie there is problem please send this amount of cash to resolve it...hapo utakuwa umeliwa. Mwambie alokutumia akutumie tena details
 
Mkuu I am sad to tell you that there are some people spending your money now...I don't know how they do it but kuna namna wanazipiga hizi pesa za western union Kama hiyo pesa ilipigwa jumamosi jioni hao jamaa walikuwa pale joevic
 
Nachojua mim muulize aliekutumia hela katuma jias gan.ambacho wewe unatarajia kupokea na alietuma n.nani akuoe swali na jibu ambapo ukienda western utajaza pia akupe namba ya siri.simple au si umuulize kw email aliekutumia hicho alichotuma
 
Western union hawatumi email..anaekutumia ni sender na si lazima email hata sms tu aweza tu muhimu ni MTCN number na test questions na answer. Otherwise matapeli watakua wanakulengesha ili wakuambie there is problem please send this amount of cash to resolve it...hapo utakuwa umeliwa. Mwambie alokutumia akutumie tena details

Mkuu kila kitu mpaka sasa nakikumbuka isipokuwa MTCN numbers
 
Si jambo jema kutumia emailing systems kwa ajili ya details za kupitisha malipo kwa 7b huwa zinahifadhiwa kwenye multiple locations kabla ikufikie na zinaeza somwa na hao admins/hackers! Nazungumzia hizi free emails kwa kuwa pia kimsingi huwezi kuwawajibisha kisheria! Kwa swala lako rejea kwa alokutumia na akutumie details upya !!! Pole bt hujachelewa

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Pesa za westen union zinatumwa kwa mtu na ili azitoe lazima awe na ID ya kumtambulisha yeye ni nani?

Hivo hata hackers wakizipata au mistakenly ikatumwa kwa mwingine hawezi kuzitoa
 
si jambo jema kutumia emailing systems kwa ajili ya details za kupitisha malipo kwa 7b huwa zinahifadhiwa kwenye multiple locations kabla ikufikie na zinaeza somwa na hao admins/hackers! Nazungumzia hizi free emails kwa kuwa pia kimsingi huwezi kuwawajibisha kisheria! Kwa swala lako rejea kwa alokutumia na akutumie details upya !!! Pole bt hujachelewa

sent from my blackberry 9320 using jamiiforums

asante mkuu kwa kunitia moyo
 
Natoa shukran za dhati kwa wale walionisaidia kwa mawazo jinsi ya kupambana na haya network hackers waliitaka kuniibia pesa zangu. Mpaka sasa nimeshazitoa.

MUNGU AWABARIKI
 
Mkuu I am sad to tell you that there are some people spending your money now...I don't know how they do it but kuna namna wanazipiga hizi pesa za western union Kama hiyo pesa ilipigwa jumamosi jioni hao jamaa walikuwa pale joevic

..dah..mkuu wanazipigaje
 
Back
Top Bottom