Chief nikiwasha data tu hata nikirumia kwa dk 5 la Zima screen ipate joto kali na chaji inapungua kiajabuajabu tu lakini nisipotumia data naweza kukaa na chaji hata siku 3
Chief nikiwasha data tu hata nikirumia kwa dk 5 la Zima screen ipate joto kali na chaji inapungua kiajabuajabu tu lakini nisipotumia data naweza kukaa na chaji hata siku 3
Mkuu nilinunua chaji mpya ya Fast charger 2A nimechaji vizuri na Kuna mabadiliko nimeyaona kwa upande was chaji nimetumia zaidi ya Masaa 11 pamoja na kutumia. Data still bad on chaji ipo Ngoja niendee Kujipa muda zaidi nione itakuwaje
Nilifanikiwa baada ya kubadilisha motherboard nzima na tatizo lilikuwa kwenye motherboard tu nilivyobadili kila kitu kikakaa sawa na pc inapiga mzigo kama kawaida.