Naomba msaada wa afya naombeni msaada

uko wodi namba ngapi Mariam.
Nimeweka no yngu hapo mm natka nitolewe hapa regency 0764214031 mm niko wodini shida yangu nataka nipewe rufaa niende hospitali nyingine ninatumia bima ya nhif
au ICU(intensive care unit) Niko nje regency niambie Dr wako anaitwa nani na ndg yako wa karibu ulimwandika kwenye taarifa zako hapo hospitalini........Niko hapa nikusaidie
 
Kuna utani wowote nilio uweka hapo?, kasema ana omba msaada na ana bima ya nhif.

Kwa tatizo lake hilo una hisi hiyo bima ya nhif ita mfaa kwa muda gani?, means cash ita hitajika mwanzoni.

that's why nika muambia aje na I'd yake iliyo zoeleka ili tufanye jambo, au hujui watu wa jf walivyo wagumu kutoa kwa wasiye mjua.
 
uko wodi namba ngapi Mariam.

au ICU(intensive care unit) Niko nje regency niambie Dr wako anaitwa nani na ndg yako wa karibu ulimwandika kwenye taarifa zako hapo hospitalini........Niko hapa nikusaidie
Mpigie simu, kwa hali yake sidhani hata huu uzi kaandika yeye.
 
Mloganzila.nenda Tu direct ila unatokea private ujuena kule bill yako itakuwa ya kipravate ..ujipange.ila uzuri kuleutapona
Umenikumbusha tuliwahi toka private na mgonjwa tukapewa refferal twende Muhimbili, ila tukashauriwa tupite mwananyamala tukifika kule tutumie refferal ya mwananyamala maana ikitokea umetoka private moja kwa moja kuna package zake na zipo juu.
 
Mbona ni rahisi.

Ongea na Daktari wako kwamba unaomba kuondolewa hapo.
Na wakupe rufaa kwenda huko unakotaka.

unaweza kuwatumia ndugu zako wanaokuuguza kushinikiza hili.
 
Je una uwezo wa kutoka hospitali moja hadi nyingine bila ambulance?

Asilimia kubwa ya bima na NHIF huduma ya ambulance haipo covered hivyo ujiandae kulipia cash.
 
Sema wewe mkuu, niki sema mimi nita onekana nakebehi.
 
I'd yake ya zamani itakusaidia nini wewe kilaza?Kama umeshindwa hata kutoa msaada wa maneno si usepe tu we kitobo.
Msaada wa maneno kwa mtu mwenye shida ya kifua?,

anyway aki weka hiyo I'd, nita changia mchango wa sadaka yangu.

Mwisho matusi siku hizi ni cheap shots, labda umwambie mzazi wako ndio ana weza shituka.
 
Mwenye dhamira ya kusaidia hasa atasaidia kwa kuguswa na tatizo husika na si jina la muhusika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…