Naomba msaada wa address ya kampuni ya SPICE MOBILE

Naomba msaada wa address ya kampuni ya SPICE MOBILE

neggirl

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2009
Posts
4,862
Reaction score
2,156
Helo wanaJamii!

Tafadhali naomba mwenye kujua contact za kampuni hii au mahali walipo hapa Dsm anisaidie.

Ni kampuni inayofanya kazi kama za PUSH MOBILE mfano: ununuaji wa ring tone za wasanii. Thax

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom