Naomba msaada tatizo la storage space kwenye simu ya tecno

Naomba msaada tatizo la storage space kwenye simu ya tecno

ugido

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2014
Posts
421
Reaction score
104
Wapendwa wana JF, naomba msaada simu yangu ni tecno p3 tatizo niki download vitu inaniambia insuficient space, wakati nimedownload vitu vichache sana imejaaje, na inaniambia sc card space 5.34 gb free sielewi, nisaidieni
 
duhh......! yaan mkasa huo ndio ulionipata na mm nna hyo hyo tecno P3 nime download whatapp tu inaniambia insuficient space acha waje wajanja vl zaid watuelekeze
 
Tatizo unatumia internal memory kuhifazi kila ktu badili main storage iwe sd card zen vitu vilivyo katika internal memory viamishie kwenye sd card mfn picha na nyimbo zen utakuwa na nafasi yakutosha kuweka application zako
 
Nisaidieni hata mimi limenikumba tatizo ila simu yangu ni Huawei ascend Y210 kila nikidownload vitu vitu inanambia hakuna nafasi
 
P3 tecno internal memory ni ndogo na haina uwezo waku install sd card
Kwa ushauri tecno bado sana uki compare na smartphone zingine
 
Nimejaribu kuweka mpya bado inafanya hivohivo
 
P3 tecno internal memory ni ndogo na haina uwezo waku install sd card
Kwa ushauri tecno bado sana uki compare na smartphone zingine

Wewe ndo umesema mana nimejaribu hadi kupeleka kwa kwa ma xpaty wa cmu lakin wameshindwa, m,card ina gb 8 lakin haitunzi
 
Tatizo unatumia internal memory kuhifazi kila ktu badili main storage iwe sd card zen vitu vilivyo katika internal memory viamishie kwenye sd card mfn picha na nyimbo zen utakuwa na nafasi yakutosha kuweka application zako

Nime download whasap, bible, clean master, antvirus, scaner kwisha habari , nimeenda kwenye storage nimeweka kwenye sd card wapi, nimefuta ma nyimbo yote na mapicha yote wapi, du kizaazaa nsaidien nfanyeje
 
Techno p3 nimajanga kiukweli nizakubahatisha nzuri, Mimi mwenyewe nlikuwaga nayo ilinisumbua sana nikaiuza kwasasa navinjari na ZTE hii nikibiko kwa nafasi (internal memory).
 
Hizo simu sijui niseme walizitengeneza kwa haraka haraka, maana hata sielewi, sasa cha kufanya i root hiyo simu( just google it how to root android phones) tatizo litakuwa limepungua kwa sababu kuna apps ambazo zipo kwenye simu huwezi kuzileta kwenye memory card sasa kama uki root hiyo simu utafanya chochote unachotaka na utaifurahia simu yako.

Sent from my iPhone 4S using JamiiForums
 
fanya uiroot,kuna kiapp kiko simple for the root process,(poot for tecno p3),kidownload icho then install new custom rom ka vp,kwa process zote ingia(nairland forum),
 
Du nineiroot wapi, nitafute tu cmu nyongine
 
Nimejaribu kuweka mpya bado inafanya hivohivo
Unaponunua cm kwa ajili ya kutumia internet,sifa kuu ya kwanza ni internal memory,angalia iwe angalau na 2gb. Hizo techno p3 hata ukiweka SD card ya GB 16 haikusadii mkuu. Pole sana
 
Unaponunua cm kwa ajili ya kutumia internet,sifa kuu ya kwanza ni internal memory,angalia iwe angalau na 2gb. Hizo techno p3 hata ukiweka SD card ya GB 16 haikusadii mkuu. Pole sana

Nisaidie mkuu ninataka kununua simu nyingine katika sifa unayoitaja cmu gani ambayo ni chip kama ya laki hadi laki na 30 ambayo itanifaa nshauri
 
Back
Top Bottom