Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
Habari?
Nina tatizo kwenye pc yangu nikitaka kuclick kwenye notification ili niview labda like,qoutes, haikubali kabisa. Pia hata ninapotaka ku reply kile kibox kinakuja cha kyenyeji sana, hakina zile tool bar Tatizo hili limejitokeza tangu jana, naomba mwenye kujua anijuze.