Half London
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 261
- 117
Habari wanajamvi. Computer yangu aina ya Gigabyte Chassis(window xp) nikiwasha inawaka na inapoanza kuscan inaishia katikati bila kumaliza. Hapo hata uclick vipi, haifanyi chochote. Nafanya kuzima pale inaponiletea maandishi ya "ending now".
Vilevile na sauti inakwaruza. Nifanye nini kufix hili tatizo? Mungu awabariki.
Vilevile na sauti inakwaruza. Nifanye nini kufix hili tatizo? Mungu awabariki.