Nikumbuka nilimaliza kuburn dvd toka hapo ndo janga likaanza
imekufa super power ic ya kwenye motherboard kama upo dar nichek 0762647575 tufanye repairWadau pc yangu ni hp mobilework station elitebook 8540w baada ya kuitumia kwa muda bila shida hatimaye imeleta shida haipeleki moto kabisa si kwenye system wala kwenye betry so now imegoma kuwaka kabisa msaada hapo wadau na nimechunguza nimegundua kuwa adapter iko powa kabisa...