Tatizo la kompyuta Ku-restart, naomba msaada

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
5,538
2,000
Wadau nimekuwa na tatizo la pc yangu kujizima na kujiwasha ghafla baada ya blue screen.

Pia wakati mwingine inapojiwasha baadhi ya program imayoa erro sms program stopping mpaka ni irestart ndiyo inaweza kufunguka .

Nimejaribu kuondoa ram moja baada ya nuingine lakini still napata tatizo hilo.

Naomba msaada wenu nifanye nini. Natanguliza shukrani zangu.
 
mkubwa 21

JF-Expert Member
Nov 12, 2014
442
195

Hapo mkuu kuna wajomba bootsector wamevamia drive, ivyo waweza install win os nyingne kuondoa tatizo lako.
 
mkubwa 21

JF-Expert Member
Nov 12, 2014
442
195
ip kati ya hiz error inakuja kwenye screen yako "STOP: 0xC0000221 unknown hard error C:\Winnt\System32\ Ntdll.dll"
*. "STOP: C0000221 unknown hard error \SystemRoot\System32\ ntdll.dll"
*. "AppName: [PROGRAM NAME] ModName: ntdll.dll"
*. "[PROGRAM NAME] caused a fault in module NTDLL.DLLat [ANY ADDRESS]"
*. "Crash caused in ntdll.dll!"
*. " NTDLL.DLLError!"
*. "Unhandled exception at [ANY ADDRESS] ( NTDLL.DLL
 
Heri lee

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
996
1,500
Hill ni tatizo la hardware kuna capacitor zimekufa hua linatokea sana kwenye Toshiba kama upo dar nione nikufanyie repair contact 0762647575
 
Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
5,538
2,000
ip kati ya hiz error inakuja kwenye screen yako "STOP: 0xC0000221 unknown hard error C:\Winnt\System32\ Ntdll.dll"
*. "STOP: C0000221 unknown hard error \SystemRoot\System32\ ntdll.dll"
*. "AppName: [PROGRAM NAME] ModName: ntdll.dll"
*. "[PROGRAM NAME] caused a fault in module NTDLL.DLLat [ANY ADDRESS]"
*. "Crash caused in ntdll.dll!"
*. " NTDLL.DLLError!"
*. "Unhandled exception at [ANY ADDRESS] ( NTDLL.DLL
Hapana napata blue screen then maandishi mengi ambayo siwezi kuyanoye then inajirestart lakin pia wakati inawaka inayoa error kama vioe bios zimekuwa helted kitu kama hicho.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom