Naomba msaada tatizo la Android SDK CARD kwenye PC

Naomba msaada tatizo la Android SDK CARD kwenye PC

Yahya Asaa

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2013
Posts
244
Reaction score
28
Habari za saa hizi wana JF Poleni na majukumu

Naomba msada wenu cku hadi cku nimekua nikidownlod android sdk card kwenye pc ila imeshindikana jitihada zangu
Hazijazaa matunda

Naomba msada wenu ili niweze kukamilisha hili ni letu sote Natanguliza shukrani wana JF.
 
Habari za saa hizi wana jf
Poleni na majukumu

Naomba msada wenu
cku hadi cku nimekua nikidownlod android sdk card kwenye pc ila imeshindikana jitihada zangu
Hazijazaa matunda
Naomba msada wenu ili niweze kukamilisha hili ni letu sote
Natanguliza shukrani wana jf

Toa details vizuri mzee ndo utasaidiwa Android SDK Card ndo kitu gani, unakidownload kutoka wapi na kwanini exactly haufanikiwi?
 
Bro kuna vitu nataka kufanya kwenye hii cm ya ya android
Sasa siwezi kufanikiwa kama cna hiyo softwre ya android sdk kwenye pc
Nataka nikomandi badhi ya vitu
Msada wako pl
 
Bro kuna vitu nataka kufanya kwenye hii cm ya ya android
Sasa siwezi kufanikiwa kama cna hiyo softwre ya android sdk kwenye pc
Nataka nikomandi badhi ya vitu
Msada wako pl

Kuna neno katika title ya hii post limepoteza kabisa maana ya hitaji lako...!!

"CARD"

Ulikuwa unamaanisha nini na kipi unahitaji kukifanya katika simu yako??
 
Kweli bro linikosea hapo
Makosa yalitokea kwenye uwandishi
Ila ni android sdk
Kwa ajili ya kuroot cm yangu
Pia kutoa pattarn lock bila ya kufomart cm
Nataka nikomandi
 
Back
Top Bottom