Naomba msaada simu yangu hii Spark 5 Air kila ninapo touch ina toa sauti

Mamserenger

JF-Expert Member
Oct 14, 2019
1,157
2,078
Wakuu naomba msaada simu yangu hii Spark 5air kila ninapo touch ina toa sauti na pia haifanyi chochoteee na pia kama inaonesha box Kwa kila Napo touch. Inavyo onesha imejiseti katika mfumo Kwa Yule ambae kipofu.

Kwa maana inatoa mazungumzo Kwa kila app unayo touch.

Msaada wakuu wangu tafadhali
 
Accessibility hiyo bonyeza vidole viwilli ushikilie usiachie kwa second 10 au bonyeza power + volume up kwa mda mmoja
ikishindwa nenda nayo taratibu kila sehemu uwe unabonyeza mara mbili fungus setting accessibility weka off itakaa sawa
Screenshot_20201109-152842_Settings.jpg
 
Wakuu naomba msaada simu yangu hii Spark 5air kila ninapo touch ina toa sauti na pia haifanyi chochoteee na pia kama inaonesha box Kwa kila Napo touch. Inavyo onesha imejiseti katika mfumo Kwa Yule ambae kipofu.

Kwa maana inatoa mazungumzo Kwa kila app unayo touch.

Msaada wakuu wangu tafadhali
kama umeshindwa kutoa hilo tatizo basi I hope wewe ndiyo itakuwa smartphone yako ya kwanza kumiliki
 
kama umeshindwa kutoa hilo tatizo basi I hope wewe ndiyo itakuwa smartphone yako ya kwanza kumiliki
Ni kweli kakaaa.

Smartphone yanguu ya kwanza hiii.

Maana nimetoka Dakawa na miwa yangu nimekuja nayo Mjini ndo maana nikaweza miliki smartphone yanguu ya Kwanza kumiliki
 
Ni kweli kakaaa.

Smartphone yanguu ya kwanza hiii.

Maana nimetoka Dakawa na miwa yangu nimekuja nayo Mjini ndo maana nikaweza miliki smartphone yanguu ya Kwanza kumiliki
Basi wewe itumie tu kadri unavyoendelea kuitumia ndivyo utakavyoendelea kugundua baadhi ya vitu bila hata kuelekezwa na mtu.
 
hii kitu iliwahi kunitesa sana, me ilikuwa kila msg ninayofungua inasoma kwa sauti.
mimi kipindi nanua smart phone sikua najua hata kuitumia na wala sikuwahi kumuuliza mtu bali nulivowasha tu nikaona inaniongoza yenyewe na baada ya mwezi mmoja tu nikawa nishajua setting zake zote bila kuelekezwa na mtu.
 
Back
Top Bottom