thomas_360
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 1,456
- 1,436
yap nimeshapata kazi ila kwa sasa kwenye kampuni mpya ya uzalishaji maji ya kunywa kwa mkoa wa dodomaUshapata kazi na chemistry yako mkuu...uko wapi tujue na sisi tuombe chemistry mwaka huu hapo Udom.
hongera mkuu maana sr inatabia mbaya sana...SR imenikosa mara zote tatu na saivi naenda ya nne
ahaaa anajua mwenyew ila hao vipanga wapo..Hahahahah..hata m mshangaa aiseee......au itakua amesoma EAGLE WINGS COLLEGE[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji113] ila huku kuna vituko sanaKwani ukisema tu ni wewe ndo hautasaidiwa?
dah we mrembo ma lecture hawakukupitia kweli maana na nyie mnakashifa ya kutoa hongo ya ngono sana...Labda nikienda kusoma masters lakini degree yangu,hamna sup kwa transcript yangu
Anaweza apply tena, ila alipe deni la awali kama alidhaminiwa na bodi ya mikopoWakuu poleni na majukumu.
Nina ndugu yangu hapa kashindwa kuendelea na chuo mwaka ujao wa masomo, alikuwa anachukua with education MKWAWA. Matokeo yake ya kidato cha sita mwaka 2015 ni
GEO B+
HIST B
ECO C
GS C
BAM F
1.ataruhusiwa kuaply tena chuo cha serikali kwa mwaka huu wa masomo?
2.je hapo anaweza chukua coz gani zenye soko?
Nawashukuru sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ee kweli[emoji134] GS kwa TZ inakuaga S hata ukifaulu kwa kiwango cha makinikia.GS kapata 'C'?? Amesoma nchi gani??
#krav_maga
Wapo waliotoa,lakini sipo Hata katika kashfa ya kutoa hongo ya pesa Wala ngonodah we mrembo ma lecture hawakukupitia kweli maana na nyie mnakashifa ya kutoa hongo ya ngono sana...
ahaaa hongera madam kuna ma lecture wameshindkana mbinguni na duniani...Wapo waliotoa,lakini sipo Hata katika kashfa ya kutoa hongo ya pesa Wala ngono
Duuuu mkuu yaana kusup n uzembe hatar sana labda ungesema kudsco mkuu ningekuelewa...maana unakuta uko vizur coursework ya 29/40 lakn unakuja UE chali Una supp....alafu mkuu inategemena na unasoma chuo Gan na course Gan....hivi unategemea MTU anayesoma tourism management sijui au resource sijui nn huko ukamlingamisha na MTU anaesoma let say Bsc.education(Phz & math) tena tuchukulie udsm weeeee!!!! Huu mziki asikwambie mtu mkuu sup nje nje nje yaaanVictor wa happy BAHATI MBAYA UNAWEZA UKACHUNGUZA ORODHA YA WANAODISCO AU KUSUP HUKO CHUO NA USIMKUTE HATA MMOJA MWENYE SIFA HZO UNAZOTA ZA KUSOMA KWA SHDA.
MKUU WENG WANAOFELI CHUO KIKUU NI VILAZA NA WAZEMBE..
Sawa mkuu kila MTU Ana mawazo yake jinsi anavyowazaf de solver ANAYESUP AU KUDISCO CHUO KIKUU NI AIDHA MZEMBE AU KILAZA
1. HAKUNA COURSE NGUMU SANA CHUO KWA SABABU UNACHAGUA KOZI KULINGANA NA UWEZO WA KUIMUDU, HVYO UNAVYOSOMEA UDAKTARI useme MASOMO MAGUMU UTASHANGAZA KWA SABABU HAKUNA ALIYEKULAZIMISHA.. UNAVYOSEMA TOURISM NI RAHISI WAKAT HATA YULE ANAYESOMA ENGINEERING AKSOMA TOURISM ANAFELI, UTASHANGAA
ANAYEFELI COURSE ALIYOICHAGUA MWENYEWE NI MZEMBE NA KILAZA KWA SABABU WAPO WANAOMALIZA HZO KOZI BILA KUFELI.
2. KUHUSU CHUO BAHATI MBAYA CALCULATION YA GPA YA UDSM NI RAHISI KULIKO VYUO KAMA SUA NA MZUMBE
MBAYA ZAIDI PASSMARK YA UDSM NI CHINI YA 50, PASSMARK YA MZUMBE NA SUA KWA MFANO NI 50 AND ABOVE
UDSM UNAWEZA KUWA NA SUP 4 NA UKASONGA MBELE KAMA UTAKUWA NA GPA YA 1.8 WAKATI VYUO KAMA MZUMBE NA SUA UKIFELI MASOMO 4 KWA MWAKA MMOJA WA MASOMO AU KWA KULIMBIKIZA 'UNADISCO' BILA KUJALI UNA GPA NGAPI.
ANYWAY, HATUPO KWENYE UBISHANI WA CHUO KWA SABABU KUCHAGUA CHUO AU KOZI NI HIYARI NA WANAOFAULU NI WENGI KULIKO WANAODISCO.
Kwani hilo nalo ni la kuuliza!dah we mrembo ma lecture hawakukupitia kweli maana na nyie mnakashifa ya kutoa hongo ya ngono sana...
Usijipalie kwa chuo,Duuuu mkuu yaana kusup n uzembe hatar sana labda ungesema kudsco mkuu ningekuelewa...maana unakuta uko vizur coursework ya 29/40 lakn unakuja UE chali Una supp....alafu mkuu inategemena na unasoma chuo Gan na course Gan....hivi unategemea MTU anayesoma tourism management sijui au resource sijui nn huko ukamlingamisha na MTU anaesoma let say Bsc.education(Phz & math) tena tuchukulie udsm weeeee!!!! Huu mziki asikwambie mtu mkuu sup nje nje nje yaaan
Eti chuo chenyewe udsm[emoji23][emoji23][emoji23] haaya mkuu...yaan mkuu unaonekana Una chuki na udsmUsijipalie kwa chuo,
tena chuo chenyewe udsm;
bora ungenambia UDOM, SUA, MZUME au Muhimbili:
lkn yote kwa yote lazima utambue kua kila mtu na kila chuo/course aliyopo anapitia mengi na magumu: usijedhani magumu hayo unayapitia wewe tu!
Elimu unayoipata, tuione ikitumika kuisaidia FAMILIA na JAMII yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kudisco chuo haimaanishi mtu hana akili ila zipo sababu zinazoweza kuchangiaAkafanye kilichomweka buzy hadi aka disco mkuu.
Shule haikuwa her first priority,
Hope atafanya vyema mno akiwekeza her full time kwa kilichomweka buzy hadi akafeli.
Umemuuliza ni kitu gani?