Kumbe mpaka ujipige pige. Pambana na hali yakomkuu uko very confortable kwamba umesoma udsm..
wewe ndio ulitakiwa uwe mfano sasa tuone ushauri wako..uoneshe huko udsm mnafundishwa hekima, busara na maarifa...msitupe doubt sisi wa chief kunambi community development colleges.. juu ya elimu iliyopo udsm sasa hapa tunaanza kuwa na mashaka na huko udsm..kwa ushauri uliotoa mwanangu bora nijipigepige akasome tu nje ya nchi kwa kweli
Wakusoma wanakuwaga hivo mkuu..! Mnapoteza energy bure tu kwa kilaza moja hivi ambalo linajifanya kila kitu linajuadada wewe msomi,hebu kuwa mfano ,tumia elimu yako kuokoa jamii yako au ulitaka umsaidie tu mawazo mdogo wako anapofail ??
usikashifu sababu hujui amedisco kwa sababu zipi
asante
Msema kweli ni muda
ntapambana tu sio kwa wasomi wa udsm....sahivi naanza kuelewa kwani mnazingumziwa kwa negative way kumbe kuna uharisiaKumbe mpaka ujipige pige. Pambana na hali yako
Arudi kijijini akalime vinyungu tuWakuu poleni na majukumu.
Nina ndugu yangu hapa kashindwa kuendelea na chuo mwaka ujao wa masomo, alikuwa anachukua with education MKWAWA. Matokeo yake ya kidato cha sita mwaka 2015 ni
GEO B+
HIST B
ECO C
GS C
BAM F
1.ataruhusiwa kuaply tena chuo cha serikali kwa mwaka huu wa masomo?
2.je hapo anaweza chukua coz gani zenye soko?
Nawashukuru sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana aiseeWakuu poleni na majukumu.
Nina ndugu yangu hapa kashindwa kuendelea na chuo mwaka ujao wa masomo, alikuwa anachukua with education MKWAWA. Matokeo yake ya kidato cha sita mwaka 2015 ni
GEO B+
HIST B
ECO C
GS C
BAM F
1.ataruhusiwa kuaply tena chuo cha serikali kwa mwaka huu wa masomo?
2.je hapo anaweza chukua coz gani zenye soko?
Nawashukuru sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
ulisoma kozi gani kichwa!Una disco vipi?????unaanzaje Ku disco??? Sikuwahi pata hata sup wakati nasoma.Zwazwa hiloo
kama amedisco kwenye education mungu amemuonesha njiaWakuu poleni na majukumu.
Nina ndugu yangu hapa kashindwa kuendelea na chuo mwaka ujao wa masomo, alikuwa anachukua with education MKWAWA. Matokeo yake ya kidato cha sita mwaka 2015 ni
GEO B+
HIST B
ECO C
GS C
BAM F
1.ataruhusiwa kuaply tena chuo cha serikali kwa mwaka huu wa masomo?
2.je hapo anaweza chukua coz gani zenye soko?
Nawashukuru sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atapata chuo ila bodi watamtaitiMpe pole sana. Hiyo ni sehemu tu ya maisha.
Utaratibu ulikuwa ukidisco, utasubiri miaka miwili ndipo uruhusiwe kuomba kudahiliwa tena katika taasisi ya elimu ya Juu.
Hii ni pale usajili ulipokuwa chini ya TCU.
Kwa sasa sijajua, kwa sababu usajili hufanyikia moja kwa moja chuoni. Cha Msingi, aende akaombe kwa baadhi ya vyuo na kisha muone nini kitafata.
Ungebahatika kwenda shule, ungejua huwa kinatokea nin.ANAYEFELI CHUO NI KILAZA
YAN UMEFAULU STD I-FORM 6, UNAKUJA KUFELI CHUO? AU KUSUP? UJINGA HUU
Uhalisia....uharisia
Una disco vipi?????unaanzaje Ku disco??? Sikuwahi pata hata sup wakati nasoma.Zwazwa hiloo
Afadhali Hata ningekuwa Malaya wa lecture ningeandika Nina degree ya chup!...Kama ulkuwa Malaya wa lecture tutajuaje...!
mkuu uko very confortable kwamba umesoma udsm..
wewe ndio ulitakiwa uwe mfano sasa tuone ushauri wako..uoneshe huko udsm mnafundishwa hekima, busara na maarifa...msitupe doubt sisi wa chief kunambi community development colleges.. juu ya elimu iliyopo udsm sasa hapa tunaanza kuwa na mashaka na huko udsm..kwa ushauri uliotoa mwanangu bora nijipigepige akasome tu nje ya nchi kwa kweli
ANAYEFELI CHUO NI KILAZA
YAN UMEFAULU STD I-FORM 6, UNAKUJA KUFELI CHUO? AU KUSUP? UJINGA HUU