Naomba msaada ndugu zangu

Naomba msaada ndugu zangu

GOYA MNANDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
239
Reaction score
160
Naitwa salum ally nina miaka 27 naishi dar mbagala nimeoa na nina mtoto mmoja.
Nimeitim stashahada ya manunuzi na ugavi (procurement and logistics management) kutoka taasisi ya uhasibu Tanzania may 2012.
Nina uzoefu wa miaka mitatu katika kazi katika masula ya utuzaji wa bohari (storekeeping) msaidizi wa manunuzi assistant supplies officer pia inventory controller kwa muda wote tangia kuitimu nilikua nikijitolea katika taasisi za umma halmashaur na shirika la umma

Naomba msaada ili nipate kibarua katika taasisi yeyote ambayo ina fanya kazi hizo hapo juu nina cv nzur inayinieleza vizur sana ukiguswa na ili na ukiitaji kuona cv kwa msaada zaidi unaweza kutuma email yako ili niku fowardie nk kwa mawasilioano zaidi 0683715151

Asante
 
Ndugu wana jf. Natafuta nafasi ya kazi ya kufundisha. Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu katika degree ya ualimu katika masomo ya hesabu na geographia. Ninauwezo wa kufundisha sekondary kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita na pia ninauwezo wa kufundisha collaguee. Kwa maelezo zaid pamoja na cv zangu naomba tuwasiliane inbox au namba hii 0744704597.
 
Back
Top Bottom