Msaada wakala wa ajira tz

GOYA MNANDA

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
239
160
Habar wadau naomba msaada wenu wa kuzitambua wakala wakubwa na wazur wa ajira Tanzanian mimi ni kijana mwenye cv nzur katika masuala ya manunuzi na ugavi stoo naomba njia za kupata hao mawakala ili pengine inirahisishie kupata ajira taasisi binafs na za umma asante 0683715151
 
Back
Top Bottom