robbertisaah
Member
- Dec 13, 2019
- 46
- 58
Tupe muongozo mkuu na sisi tukitaka kuagiza tupite wapi na wapi kipi tufanye kipi tuache.Gari yetu ilishafika nimeshatembelea hadi nimechoka
Tupe muongozo mkuu na sisi tukitaka kuagiza tupite wapi na wapi kipi tufanye kipi tuache.Gari yetu ilishafika nimeshatembelea hadi nimechoka
N mwez wa 3 tu ulikuwa wahitaji kuagiza gari na Leo n mwez wa 7 unasema uliagiza gari na tayari umepata na umetembelea hadi umechka means gar uliagza lini ikafika lini!Gari yetu ilishafika nimeshatembelea hadi nimechoka