Naomba ushauri! Nataka kuagiza gari Japan

leirilwa

Senior Member
Sep 18, 2015
118
22
Nataka kuagiza gari Japan Toyota premio ya mwaka 2005/2006.Naombeni kwa wenye uzoefu wa kuagiza gari from Japan, Je ni kampuni ipi ni waaminifu ! Je what if umetuma hela then baada ya hapo unayefanya naye biashara amekata mawasiliano.

Kuna hii kampuni inaitwa Trust Japanese Vehicles.com ikoje ni waaminifu? Maana hiyo premio nayohitaji nimepata kwenye website Yao nimebargain nao sasa nimeogopa kuproceed maana kuna matapeli pia kwenye hizi biashara za online!

Natanguliza shukrani.
 
Wasiliana na Kimomwe Motors (T) Ltd kampuni ya kitanzania tuweze kubeba dhamana ya chombo chako. Hakuna gharama ya ziada na hesabu zote tunafanya kwa uwazi, Malipo ya huduma hii tunayapata kutoka kwenye discount au punguzo utakalopewa.

Faida ya kututumia sisi ni kwamba pesa yako inakua sehem salama, utajua gharama kamili za chombo chako, tunasimamia utoaji wa gari bandarini na usajiri hivyo, kuokoa mda wako wa kazi, utapata wigo mpana wa kuchagua gari bora zaidi kutoka kampuni zaidi ya 12 za kijapan kama Beforward, SBT, Tradecarview n.k

Piga sim namba 0746267740 au tembelea ofisi zetu za Dar es Salaam- Magomeni Mapipa au Mbeya- Mwanjelwa Soko Jipya
 
Nataka kuagiza gari Japan Toyota premio ya mwaka 2005/2006.Naombeni kwa wenye uzoefu wa kuagiza gari from Japan, Je ni kampuni ipi ni waaminifu ! Je what if umetuma hela then baada ya hapo unayefanya naye biashara amekata mawasiliano..
Hao Trust Companya Limited magari yao hua na viwango vizuri sana mzee wangu aliagizaga gari mwaka 2002 na 2009 gari zipo mpaka kesho zinapiga mzigo mpango uliopo ni kuwarithisha wajukuu magari hayo..ingawa bei zao zimesimamia ukucha..
 
Thanks ! Noted
 
Nataka kuagiza gari Japan Toyota premio ya mwaka 2005/2006.Naombeni kwa wenye uzoefu wa kuagiza gari from Japan, Je ni kampuni ipi ni waaminifu ! Je what if umetuma hela then baada ya hapo unayefanya naye biashara amekata mawasiliano.

Kuna hii kampuni inaitwa Trust Japanese Vehicles.com ikoje ni waaminifu? Maana hiyo premio nayohitaji nimepata kwenye website Yao nimebargain nao sasa nimeogopa kuproceed maana kuna matapeli pia kwenye hizi biashara za online!

Natanguliza shukrani.
Trust ukiwaweza Bei umelamba dume.
 
Back
Top Bottom