cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 323
- 1,128
Samahani, naomba kusaidiwa ili mshahara wangu ulisimamishwa kipindi cha Rais Magufuli. Naomba msaada wenu mnisaidie ili mshahara wangu uendelee kuingia asanteni
🤣🤣🤣Ubesebajee??
Maelezo yako hayajitoshelezi.Samahani, naomba kusaidiwa ili mshahara wangu ulisimamishwa kipindi cha Rais Magufuli. Naomba msaada wenu mnisaidie ili mshahara wangu uendelee kuingia asanteni