Naomba msaada kwenye vitu hivi viwili

rommy shabby

JF-Expert Member
Jun 26, 2017
1,121
1,294
1. Nina simu Samsung s6 plus hua inatabia ya kujizima tu, unaweza weka mfukoni ukitoa unakuta imeshazima sijajua kwanini inafanya hivyo.

2.Nina laptop HP button 3 hazifanyi kazi je itakuwa vumbi au key zimekufa.

Naitaji msaada wenu
 
Hyo kujizima ni battery inakufa
 
1. Nina simu Samsung s6 plus hua inatabia ya kujizima tu, unaweza weka mfukoni ukitoa unakuta imeshazima sijajua kwanini inafanya hivyo.

2.Nina laptop HP button 3 hazifanyi kazi je itakuwa vumbi au key zimekufa.

Naitaji msaada wenu
Kuhusu laptop buttons kutofanya kazi, chomoa keyboard, halafu dondoshea matone ya white spiriti kwenye buttons husika, hakikisha spirit inaingia hadi ndani huku unabonyeza bonyeza buttons kwa nguvu kiasi
 
Back
Top Bottom