nshafanya hivyo kiongoziFika ofisi za uhamiaji baada ya kujaza fomu ya maombi ya passport ya kusafiria kwenye tovitu yao...
Cc: mahondaw
Kuruka na pipa kwako ndio mafanikio?Huyu sio mwenzio na hategemei pesa za mdafu kama wewe, anaruka na pipa a.k.a mwewe kila uchao
wazazi wore wamefariki hawakuwa na vyeti vya kuzaliwa,!!!!Zipo kama huna
Ushahidi wa shughuli unayoemda kufanya
cheti cha kuzaliwa kama huna katafute
Kitambulisho cha NIDA/namba ya kitambulisho katafute
Cheti/Kiapo cha Kuzaliwa Mzazi wa Mwombaji kama huna katafute
Picha yako iwe na background ya blue mpauko kama huna katafue
Kama unavyo hivyo vyote na kuna pesa inakuwasha tafuta watoto yatima kawanunulie unga na mchele wakuombee uzidi kufanikiwa

Loooh tupo nyuma ya I'd fake tu kumbe msambaa haruhusiwi kuimiliki?Mpaka wasambaa skuiz mna passport
Ama kwel maendeleo hayana chama
>> https://www.jamiiforums.com/threads...ri-ya-jamhuri-ya-muungano-wa-tanzania.308031/Habari ndugu zang, ninaomba msaada kujua Bei ya kupata passport na piaa process za kuipata znakuaje