Naomba msaada kwenye suala hili la passport

Mr Confidential

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,492
2,357
Habari za saa,

Nimejaza online form ya kuomba passport, lakini kuna kipengele sijakielewa.

Kuna sehemu ya kujaza nchi unayokwenda. Je, Ina maana kila nchi nitayotaka kwenda nitaomba passport nyingine?

Kingine ni kuwa, kwa wale tunaoapply scholarship mbalimbali kuna viambatanisho ambavyo educational institutions wanataka tuwe navyo ikiwemo passport. Wakati huohuo nikitaka kuomba passport naambiwa nipeleke barua ya mwaliko. Sasa hapa nafanyaje?

Wakuu msaada wenu tafadhali.
 
Ndio shida hapo,
Hupati chuo Mpaka uwe na passport,
Na hupati passport mpaka uwe na barua ya chuo. Ki msingi passport ni haki yako Ila kwetu eti hupewi mpaka uwe na safari.

Alternatively tumia "..... ni adui wa haki" labda.
 
Habari za saa,

Nimejaza online form ya kuomba passport, lakini kuna kipengele sijakielewa.

Kuna sehemu ya kujaza nchi unayokwenda. Je, Ina maana kila nchi nitayotaka kwenda nitaomba passport nyingine?

Kingine ni kuwa, kwa wale tunaoapply scholarship mbalimbali kuna viambatanisho ambavyo educational institutions wanataka tuwe navyo ikiwemo passport. Wakati huohuo nikitaka kuomba passport naambiwa nipeleke barua ya mwaliko. Sasa hapa nafanyaje?

Wakuu msaada wenu tafadhali.
Fanya Hivi Tafuta Mtu Yoyote Wa nje akuandikie Barua Ya Mualiko Hiyo Itakusaidia Kuomba Passport
Au Ubadilishe Dhumuni la Safari Uandike Matembezi Binafsii . UKIshindwa Tafuta Mawakala Muombe Umpe ata 10 Akufanyie admission letter

Hutaomba Passport Nyingine Utatumia Hio hio Moja..
 
Tumia akili,Fanya hivi omba passport assume unaenda nchi za Africa mashariki jaza kati ya hizi Kenya au unganda dhumuni la safari andika biashara utakuwa umemaliza zingatia usiende uhamiaji umevaa kihuni vaa uhusika wa mfanyabiashara kijana utapata passport haraka tu.goodluck.
 
Habari za saa,

Nimejaza online form ya kuomba passport, lakini kuna kipengele sijakielewa.

Kuna sehemu ya kujaza nchi unayokwenda. Je, Ina maana kila nchi nitayotaka kwenda nitaomba passport nyingine?

Kingine ni kuwa, kwa wale tunaoapply scholarship mbalimbali kuna viambatanisho ambavyo educational institutions wanataka tuwe navyo ikiwemo passport. Wakati huohuo nikitaka kuomba passport naambiwa nipeleke barua ya mwaliko. Sasa hapa nafanyaje?

Wakuu msaada wenu tafadhali.
Omba passport kuwa unaenda kutembea nchi kama misri yaan hapa hapa Africa
 
Habari za saa,

Nimejaza online form ya kuomba passport, lakini kuna kipengele sijakielewa.

Kuna sehemu ya kujaza nchi unayokwenda. Je, Ina maana kila nchi nitayotaka kwenda nitaomba passport nyingine?

Kingine ni kuwa, kwa wale tunaoapply scholarship mbalimbali kuna viambatanisho ambavyo educational institutions wanataka tuwe navyo ikiwemo passport. Wakati huohuo nikitaka kuomba passport naambiwa nipeleke barua ya mwaliko. Sasa hapa nafanyaje?

Wakuu msaada wenu tafadhali.
Ni kweli nyaraka za uhamiaji ni kero, Leo nilikuwa nafanya online application ya passport mpya ya kielektroniki. Mlolongo mrefu
 
Sema unakwenda Uganda hapo kwa Museveni. Book ticket kabisa Mwezi mmoja mbele(usilipie) na hakikisha documents zako zote zimekamilika. Hii ni pamoja na cheti chako cha kuzaliwa, barua kutoka serikali ya mtaa, National ID na cheti cha kuzaliwa au affidavit ya mzazi wako mmoja. Pia utapaswa kuandika barua ya maombi ya passport, humo waambie unataka kwenda kutembea huko safari binafsi au kuangalia fursa za biashara
 
Hiii Pia Imekaa Poa Zaidii
 
Omba passport kuwa unaenda kutembea take nchi kama misri yaan hapa hapa Africa
Ushaingia Kwenye Web yao Ukaona Wamevyoandika Kuhusu Safari Binafsi Utachoka yaani Pasipoti Imekua kama Vile Sijui nini akati ni Haki ya Kila Raia kuipata Ila Wao Wanaona kama ni Favour ivii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom