Naomba msaada kwenye suala hili la passport

Naomba msaada kwenye suala hili la passport

Kwa kweli hili suala la passport liangaliwe mara mbili, wanatuambia ni haki ya kila mtanzania kuwa na passport lakini kiuhalisia haipo hivyo yani passport bila safari kupata ni ngumu sana na hata ukiwa na hiyo safari mpaka uje uipate ni kwa mbinde sana vilevile!!
 
Siku Naipata Nilitembea mkono Mfukoni Isije Kuyeyuka Maana Adi Naipata Ni Balaaa
 
Tumia akili,Fanya hivi omba passport assume unaenda nchi za Africa mashariki jaza kati ya hizi Kenya au unganda dhumuni la safari andika biashara utakuwa umemaliza zingatia usiende uhamiaji umevaa kihuni vaa uhusika wa mfanyabiashara kijana utapata passport haraka tu.goodluck.
Huko kwenye biashara si kuna vigezo pia... Maana mimi nakumbuka walinidai Tiketi ye ndege goo ende ritani...

Yaani nimpaka nilikumbuka ule wa wa Dr.John wa Uhamiaji
 
Yan Hawa uhamiaji Wanafikiri kuwa tukiwapa Hawa watanzania passport Basi watahama nchi,ndo maana Wana weka ugumu wa kufuatilia haya mambo
 
Yaaani Acha Tuu Pasipoti Inakua kama Vile Ya Watu Special Ivi Kila Sehemu Wanataka Barua Ya Mualiko ama Tiketii
Hapana tatizo linaanza pale unapojaza form wengi wanajaza kwa kukosea sana ndio maana wanakutana na usumbufu kule pia appearance ya kile anachoombea passport unakuta haviendani nimejazia wengi sana hizo form include mm mwenyewe,Kama huwezi jaza uliza usaidiwe ila sio kwamba utadaiwa kila kitu Kama mnavyodhani.
 
Nilijaza Na Viambata ni Muhimu na Lazima Uulizwe
 
Back
Top Bottom